Marekani imeiwekea vikwazo Uturuki , mwanachama wa shirika la NATO , baada ya Uturuki kununua silaha zilizotengenezwa na Urusi. Marekani inasema kwamba silaha hizo za Urusi aina ya S - 400 ...