Ali Hassan Mwinyi ni rais wa zamani wa Tanzanian ambaye alihudumu kati ya mwaka 1985 na 1995. Wakati wa Uongozi wa Mwinyi, Tanzania ilichukua hatua za kwanza kubadilisha uongozi wa kisosholisti wa ...
Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ameaga dunia. Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Alizaliwa tarehe 5 mei ...
Maelezo ya video, Fahamu wosia wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi kwa Rais Samia Suluhu Hassan 27 Machi 2021 Ni zaidi ya wiki moja sasa tangu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ...
Dr Mwinyi, ambaye ni mtoto wa rais mstaafu wa awamu ya pili wa nchini Tanzania Ali Hassan Mwinyi, ni tabibu kitaaluma na waziri wa ulinzi wa sasa wa Tanzania. Amewahi kushika nyadhifa zingine huko ...
Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni, basi ewe ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa…” hii ni moja ya nukuu maarufu zaidi ya hayati Ali Hassan Mwinyi katika ...
Mzee Ali Hassan Mwinyi amezungumza kwa mara ya kwanza tangu January Makamba kuvuliwa uwaziri katika mageuzi aliyoyaidhinisha rais John Magufuli mwishoni mwa Juma. Katika mahojiano na gazeti la ...
Maelezo ya picha, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi baada ya mazungumzo yao ikulu jijini Dar es Salaam. 24 Novemba ...