Rebecca Blanchard, mshiriki wa ufundishaji wa mifugo na mtafiti katika Chuo Kikuu cha Nottingham, Uingereza, anachunguza athari za kemikali za mazingira zinazopatikana ndani ya nyumba kwenye afya ...
SERIKALI imelieleza Bunge itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo kutafuta fedha kwa ajili ya miradi ya hifadhi ...
Katika makala ya Gurudumu la Uchumi juma tunajadili athari za kibiashara kimataifa kutokana na hatua ya hivi karibuni ya Marekani kutangaza vikwazo vya kikodi kwa mataifa ya Canada, Mexico ...
Ingawa wanadamu wamehusika katika vita kwa maelfu ya miaka, majadiliano juu ya athari za wanadamu kwa mazingira ya asili, hasa kutokana na vita hivi yameanza kusambaa katika miaka michache iliyopita.
Binadamu hutegemea rasilimali za wanyamapori na bayoanuwai ili kukidhi mahitaji yao. Tunahitaji chakula, mafuta, makazi, na ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema baadhi ya wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ...
Kwenye matibabu, kwa mwaka Sh110 bilioni hutumika kushughulikia maradhi yatokanayo na tumbaku huku hasara ya Sh337 bilioni ikipatikana eneo la kazi kwa kupoteza nguvu kazi, hiyo ni kwa mujibu ...
Amesema hakuna muda mwafaka zaidi ya sasa wa kuhakikisha kunaanzishwa mfuko wa nishati kwa ajili ya kutimiza mikakati ya ...
WAKATI hatari za kijiografia na kisiasa zikiongezeka, nchi za Afrika Mashariki zimepewa changamoto ya kuimarisha sekta zao za ...