Maelezo ya picha, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Imni Peterson 27 Mei 2020 Wizara ya Mambo ya Nje nchini Tanzania hii leo imefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini humo ili ...
JUMUIYA ya kimataifa, hususan mabalozi wa nchi mbalimbali walioko Tanzania, pamoja na Algeria, Uganda India na Marekani, ...
Dar es Salaam. Mabalozi wa nchi nne wanaowakilisha nchi zao Tanzania, wamejadili mambo manne na Katibu Mkuu wa Chama cha ...
Maelezo ya picha, Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na Bw Chirau Ali Mwakwere Februari 2015. 13 Februari 2017 Balozi wa Kenya nchini Tanzania Chirau Ali Mwakwere amejiuzulu.
Pia mabalozi wa Uganda, Algeria, India na Marekani waliopo Tanzania wamempongeza, Dk Emmanuel John Nchimbi kwa kuteuliwa kuwa ...
BALOZI wa Tanzania Ujerumani, Hassan Iddi Mwamweta amesema Tanzania imedhamiria kupanua wigo wa biashara ya matunda na mboga ...
Balozi wa Marekani nchini Japani anayeondoka Rahm Emanuel anasema ushirikiano wa Marekani na Japani umeandaliwa vizuri kwa siku zijazo kuliko alipoingia ofisini miaka mitatu iliyopita. Emanuel ...
Balozi wa Marekani nchini Japani anayeondoka Rahm Emanuel amesema kwamba anaamini ushirikiano wa Marekani na Japani uliboreshwa wakati akiwa ofisini. Emanuel alitoa maoni hayo katika mkutano na ...