Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amejiuzulu wadhifa wake leo Alhamisi tarehe 6 Januari 2022. Kwa mujibu wa barua aliyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema uamuzi huo wa ...
Serikali ya Tanzania imewarai raia wake kuwa watulivu kufuatia matamshi ya mbunge mmoja wa Kenya aliyewatishia wageni wanaoishi nchini humo ikiwemo raia wa Tanzania. Kanda ya video iliomuonyesha ...