Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla kwa sasa wameelekeza macho na masikio kwa raisi wa Zanzibar ... kazi hiyo Oktoba 2012. Pia aIiwahi kuwa Mwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki kupitia Chama cha ...
Hajafutilia mbali uwezekano wa kufanya kazi na CUF lakini amedokeza ... yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), yanaonesha licha ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia, mgombea wake ...
Katibu mwenezi wa chama cha CCM Bw.John Chiligati azungumzia wazo la kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar. Chama tawala cha Mapinduzi, Visiwani Zanzibar, katika mkutano wao wa ...