Kwa mujibu wa taarifa zilizo kwenye tovuti ya TCU, baadhi ya vyuo na idadi ya wanafunzi wasiokua na sifa ni Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dodoma, chenye wanafunzi 375, CBE Mwanza, 101 ...
Jana pia katika Chuo Kikuu cha Dodoma katikati mwa Tanzania walipata ugeni wa tembo wanne wakiwa karibu kabisa na mabweni wanayolala wanafunzi. Lakini ni kweli kuwa mara zote tembo ndio wavamizi?