Ingawa Mkoa wa Dodoma ndio makao makuu ya nchi, wakazi wake bado wanahesabika kuwa miongoni mwa watu maskini zaidi nchini, takwimu zinaonyesha.
Jana pia katika Chuo Kikuu cha Dodoma katikati mwa Tanzania walipata ugeni wa tembo wanne wakiwa karibu kabisa na mabweni wanayolala wanafunzi. Lakini ni kweli kuwa mara zote tembo ndio wavamizi?
Kufuatia uchunguzi huo Prof. Ndalichako alitangaza orodha ya wanafunzi watakaorejea katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Maelezo ya picha, Kati ya wanafunzi elfu saba (7800) waliokuwa wamejiunga ...
Dodoma. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeanza mkakati wa kujenga utamaduni wa wanafunzi kuwekeza wakiwa vyuoni, lengo ...