Wizara ya Afya kisiwani Zanzibar imetangaza wagonjwa saba wapya wa virusi vya corona . Tangazo hilo linafanya idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona waliothibitishwa kisiwani Zanzibar kufikia 105 ...