Hivi karibuni Arlène alikutana na kisa kilimkumbusha jinsi jamii inavyowapa presha vijana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuoa au kuolewa Akiwa na miaka 33 alialikwa harusi ya mmoja ya ...
"Mazungumzo yetu kwa sasa nyumbani ni kuhusu harusi yetu. Tunaangalia kitamba gani tutanunua kwa ajili ya magauni yetu ya harusi. Lakini tutanunua kitambaa cha aina mmoja na rangi moja na mshoto ...