Chanzo cha picha, Ikulu Zanzibar Maelezo ya picha, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Maalim Seif. Hoja ya kwanza aliyoitoa Maalim ni kutaka pafanywe uchunguzi wa kimahakama kuchunguza yote ...
Serikali ya Zanzibar nayo imefuata mkia ... Hakukuwa na ripoti kutoka Ikulu za kusimamishwa kazi au kuenguliwa nafasi zao watumishi ambao hufanya ufisadi. Kwa sasa mambo yamebadilika, watumishi ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).
Amesema, licha ya kujipambanua kwa kujenga miradi na maghorofa makubwa, bado hali ya maisha ya wananchi haijabadilika.