Wanajeshi wawili wa Tanzania wameuawa katika mapigano katika siku 10 zilizopita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa onyo kwa wale wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu na kusababisha mauaji ya raia na polisi. Akizungumza kwa mara ya kwanza, mbele ya vyombo vya habari ...
Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa.
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake wawili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Tanzania imesema askari wake wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) wameuawa katika shambulio la Waasi wa M23 huko Goma ...
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema limewapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa, kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma, yaliyofanywa na ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesaini Mkataba wa makubaliano ya Utoaji Huduma za Afya ya Akili na ...
HALI ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado iko kutokana na matukio ya ukosefu wa usalama, mapigano ya ...
Bunge la Tanzania limeiagiza Serikali kutumia vyombo vingine ikiwemo Jeshi la Polisi, kudhibiti utapeli na uharifu wa ...