Dr.Nyerere alizaliwa mwezi machi 1922 Butiama ... kwa upande wa Zanzibar niliongea na Karume, akasema niko tayari ita watu wa magazeti sasa hivi, nikamwambia tufanye taratibu na tukafanikiwa.
jambo ambalo waliokuwa karibu na Nyerere wanasema lilimuumiza kichwa ni hali ya kisiasa Zanzibar wakati wa utawala wa Abedi Karume, aliyeunda naye muungano. Mbali na watu kadhaa kutoweka na ...