Msikiti utakaoshindana na maeneo mengine ya Kiislam ya kuabudia makubwa kuliko yote duniani unajengwa katika pwani ya kaskazini mwa Algeria. Nini malengo ya kujenga msikiti mkubwa kama huu?
Waziri wa siasa za mrengo wa kulia nchini Israel Itamar Ben-Gvir amezua mgogoro baada ya kupendekeza kujenga sinagogi katika ardhi ya msikiti wa al -Aqsa mjini Jerusalem. Jordan, ambayo ...