Maelezo ya picha, Sultan Kösen ana urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51. 12 Aprili 2016 Mtu mrefu zaidi duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51 ...
Hii ingemfanya kuwa mtu mrefu zaidi duniani, lakini kulikuwa na changamoto - kliniki ya vijijini haikuweza kuwa na uhakika wa urefu wake kwa sababu haikuwa na zana sahihi za kupimia ...