Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 ni mtoto wa kwanza kati ya watoto sita katika familia yake kutoka Machakos. Irene ni mmoja wa wale ambao maisha yao yalivurugika alipovamiwa na fisi, ambapo ...
Kila siku, mamia ya malori huondoka bandari kuu za Afrika Mashariki, hususan nchini Kenya na Tanzania zikisheheni bidhaa katika mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki, na kuzusha hofu kwamba madereva ...
NTSA ilisema uchunguzi wa uthibiti ulibaini ukiukaji mkubwa wa masharti ya usalama wa barabarani, ikiwemo mwendo kasi na kutofuata taratibu za uendeshaji barabarani. Afisa wa NTSA aondo namba ya ...