Maelezo ya video, Maonyesho ya magari ya zamani yaandaliwa Zanzibar Kuvutia Utalii 6 Septemba 2018 Huu ni msafara wa magari ya zamani ambayo yaliwahi kutumika katika miaka ya sitini na hamsini ...
Katika kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar hakujawahi kuonekana gari. Wakazi wa kisiwa hicho cha watu 20,00 waliowahi kuona gari ni wale waliobahatika kutoka nje ya kisiwa hicho, wengine huyaona pichani ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amelishauri Shirika la Elimu, Sayansi na ...