Magereza 52 ya Ecuador yanahifadhi zaidi ya wafungwa 39,000, karibu 10,000 zaidi ya wanaoweza kukidhi, kwa mujibu takwimu rasmi kuhusu uwezo wa magereza. Ghasia huko Guayaquil zilikuwa za tatu ...
Ghasia za magereza za Septemba huko Ecuador zilizosababisha vifo vya watu 119, huku wengine wakiwa wamekatwa vichwa, zimeibua tena suala la msongamano magerezani. Wataalamu wanalaumu miongoni mwa ...