Zege inawajibika kwa 4-8% ya uzalishaji wa kaboni ... Maarufu kama ‘BURJ zanzibar’ litakuwa jengo refu zaidi la mbao za mseto barani Afrika. Wasanifu majengo tayari wanapanga majengo makubwa ...
Tamaduni nyingi za Oman na Zanzibar zinafanana, kuanzia kwenye upande wa lugha ya kiswahili, chakula, mavazi na mtindo wa majengo yao vilevile yanashabihiana. Ikiwa leo Zanzibar inaadhimisha miaka ...