Tayari anashikilia rekodi ya kununua majumba ya kifahari katika eneo la Miami, ambayo alinunua kwa dola milioni 60 mwaka 2015, pamoja na Chicago, ambapo alilipa dola milioni 59 mwaka jana.
Katika eneo la Barlovento, jimbo lililopo kaskazini mwa Venezuela lililojaa vivutio vya utalii kama vile majumba ya kifahari na fukwe za kuvutia, nyingi kati ya nyumba za kifahari ambazo wakati ...