wameamua kuwa wapendekeze jina la mwanachama atakayekuwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar. Pia ACT Wazalendo, imewaruhusu wajumbe wa baraza la wawakilishi, wabunge, na madiwani waliochaguliwa ...
Katika mahojiano yake ya kwanza na chombo kimoja cha habari tangu atangazwe kuwa Makamu wa Kwaza wa Rais, Othman amesema: "Zanzibar inastahili kuwa inapotakiwa kuwa, sio hapa ilipo sasa.
Maalim aliteuliwa kuwa kushika wadhifa huo kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani humo, baada ya kuibuka mshindi ...
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...