Kisiasa na kikatiba mchakato wa kumpata Makamu wa Rais unazihusisha taasisi mbili, chama tawala CCM na Bunge la Tanzania. Rais Samia na chama chake cha CCM wana kibarua cha kuteua jina la ...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili nchini Tanzania, tayari kwa kuanza ziara yake ya siku tatu nchini humo. Ziara hii ya kiserikali inatokana na mwaliko wa Rais wa Tanzania Samia ...
Edward Ngoyai Lowassa, tayari ameshatimiza mwaka mmoja tangu alipovuta pumzi ya mwisho, Februari 10, 2024 akiwa Taasisi ya ...
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa rai kwa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kukamilisha mchakato wa kusanifu na kujenga ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
Clouds TV kwa kupitia Kipindi chake cha Sentro Bash la Bimdash wameungana na watanzania wengine katika kusherehekea ...
AZIMIO la Dar es Salaam la wakuu wa nchi na serikali, kwa ajili ya kutoa nishati ya umeme kwa Waafrika milioni 300 hadi mwaka 2030. Tayari imeshakubaliwa na kutiwa saini katika kikao cha kati ya Janua ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua ...
Makamu wa Rais Kamala Harris, anayehudumu kama Rais wa Bunge la Seneti alitangaza kuwa “Matokeo ya kura hizo yanapaswa kuwa uthibitisho kamili wa watu waliochaguliwa kuwa Rais na Makamu wa Rais ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...