Wiki hii Tanzania imetoa misaada kwa mataifa mawili ya Uturuki na Malawi yaliyopitia masaibu na kuathiri maelfu kwa maelfu ya watu. Tanzania imeisaidia Malawi msaada wenye thamani ya shilingi ...
Mshambuliaji wa timu ya soka nchini Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston Villa. Klabu hiyo imeandika katika mtandao wake kwamba ...