Hatimaye Rais wa Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar ametangaza Baraza lake la Mawaziri akiwemo Hamad Rashid kutoka Chama cha Upinzani cha ADC. Hamad Rashid Mohamed aliwahi kuwa mwanachama ...
Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewaapisha mawaziri wapya kuunda serikali ... halina uwiano katika wizara kati ya pande mbili za Zanzibar na Tanzania Bara ambazo zinaunda Jamhuri ya Muungano ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jana kiliadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa mwaka 1977. Chama hicho kilianzishwa baada ya ...