Sasa ni rasmi kuwa Mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yanayojulikana kama Tumaini, yamevunjika mjini Nairobi.
Rais wa Marekani ametangaza Jumatano, Februari 12, kwamba alikuwa na "mazungumzo ya muda mrefu na yenye tija" na mwenzake wa ...
Serikali imethibitisha kuwa wadau wa ndani na nje ya nchi wameonesha nia ya kuwekeza katika miradi mbalimbali chini ya mpango wa BSEZ, huku mazungumzo yakiendelea na taasisi husika. Hata hivyo, hadi s ...
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healy amesema hakuwezi kuwa na mazungumzo kuhusu Ukraine bila kuishirikisha Ukraine ...
Viongozi hao wa Tanzania kwenye picha hiyo wapo nyuma ya wawakilishi wa Tanzania na Saudia ambao kwa mbele wanaonyesha ...
WASHINGTON: RAIS wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kwamba Ukraine itashirikishwa katika mazungumzo ya amani na Russia, ...
Rais wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alikuwa na mazungumzo marefu kwa njia ya simu. Kwanza alizungumza kwa muda mrefu na Rais wa Urusi Vladimir Putin, ambapo walijadili juu ya kumaliza vita nch ...
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Urusi anasema nchi hiyo ipo tayari kwa mazungumzo ya ngazi ya juu na Marekani. Hatua hiyo inakuja wakati kukiwa na ripoti kuwa Rais Donald Trump amezungumza na Rais ...
NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Ryabkov amesemamazungumzo ya silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani bado ...
Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanakamilika, afisa wa Palestina anayefahamu mazungumzo hayo ameiambia BBC.
Iran imesema iko tayari kuujadili mpango wake wa nyuklia ikiwa nchi za Magharibi zitaonyesha kujitolea katika mazungumzo hayo ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine yataanza baada ya kufanya mazungumzo ya simu ya ...