Mkoani Mbeya. Mabasi hayo madogo ya kuwabeba abiria maarufu kama Daladala ambayo yalihusika kwenye ajali hiyo hufanya safari zake kati ya Mwanjelwa na Mbalizi. Miongoni mwa waliofariki dunia ni ...
Wakizungumza leo Januari 31 katika kikao cha bajeti, baadhi ya madiwani wamesema stendi ya mabasi ya Mji wa Mbalizi haifanani na hadhi ya wilaya hiyo licha ya kuwa sehemu ya kuingiza fedha ...