Matumizi ya Lugha ya Kiswahili kwa asilimia Mia moja si jambo linalotiliwa mkazo na baadhi ya wasaniii na waandaaji wa filamu nchini Tanzania jambo linalopoteza maana ya halisi ya Filamu nchini ...
Ukuta mrefu unaozunguuka machimbo ya madini ya Tanzanite katika eneo la Mererani nchini Tanzania, umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90. Ukuta huo wenye urefu wa kilomita 24.5 na urefu wa mita tatu ...