Lakini serikali mjini Paris ilisema safari ya ndege inayozungumziwa ilikuwa imeidhinishwa na jeshi la Niger. Viongozi wa mapinduzi walimzuilia ... chini ya umri wa miaka sitini.
Angalau watu watatu wameripotiwa kufariki dunia na wengine 80 kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatua risasi kwenye umati wa watu wanaopinga Jeshi kuchukua hatamu ya mamlaka Sudan. Waandamanaji ...