Wiki hii Aprili 26 ,Tanzania inaadhimisha miaka 50 ya Muungano tangu nchi ya Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuzaa nchi ya Tanzania. Nchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar ziliungana ...
Maelezo ya sauti, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika 26 Aprili 2022 Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.