Maelezo ya sauti, Watafiti wa Alizeti wathibitisha Alizeti zinaweza kustawi katika mikoa 19 Tanzania 13 Novemba 2018 Watafiti wa Alizeti wanathibitisha kwamba zao la Alizeti linaweza kustawi ...
Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amefanya mabadiliko katika makatibu watawala wa mikoa, makatibu kumi wakiwa wapya. Wawili wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamesalia katika vituo vyao vya sasa.