Katika orodha mpya iliyotangazwa na Ikulu Mei 15 mwaka huu, katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni wakuu wa mikoa tisa - karibu theluthi moja ya wote ndiyo ambao wameondolewa , kustaafu au kupangiwa ...
Serikali ya Ufaransa imeingia makubaliano na Taasisi ya Huduma za Afya Aga Khan ya miaka minne ya kutoa huduma ya chanjo ya saratani ya kizazi sambamba na matibabu ya saratani ya matiti ...
Majadiliano na wadau hao wa Sekta ya utalii yaliwahusisha wawakilishi kutoka TAWA ambayo iliwakilishwa na Kamishna Msaidizi ...
Huduma za vivuko zimesitishwa katika mikoa mitatu ya Tanzania . Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa) umetangaza kusitisha huduma hizo katika mikoa mitatu ya Mtwara, Lindi na Pwani kufuatia ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maashimisho ya Siku ya Wanawake ...
25.01.2019 25 Januari 2019 Wahazade ni kabila dogo nchini Tanzania,wanaopatikana katika mikoa ya Manyara na Singida. Jamii hii bado inaishi pembezo. Upekee wa Wahadzabe ni kwenye Harusi zao ambapo ...
Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na Serikali, UNFPA na Chama cha Wakunga Canada, wameandaa mafunzo maalumu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results