Timu ya Azania Group, ndiyo itakayowakilisha Tanzania katika mashindano ya kikanda ya Afrika Mashariki, ya Benki ya "Standard Chartered-Road to Anfield" yatakaofanyika uwanja wa Jakaya Kikwete ...
Katika orodha mpya iliyotangazwa na Ikulu Mei 15 mwaka huu, katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni wakuu wa mikoa tisa - karibu theluthi moja ya wote ndiyo ambao wameondolewa , kustaafu au kupangiwa ...