Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa alisema Zanzibar lazima iwe na sauti yake kwenye maandalizi na hata kura ya maoni ijayo. Bwana Jussa hata hivyo amesikitika kuwa hoja yake binafasi ...
Hapa ni kama kioo cha uso wa Zanzibar na taswira ya visiwa hivi eneo lililo kando ya bahari na linalotazama majumba ya asili ya mji mkongwe… Kutokana na umuhimu wake, haikushangaza kutumika kwa ...