Tanzania ni sehemu ya kikosi kitakachotumwa ... zaidi ya 100 ya porini nchini Algeria. Moto mkubwa zaidi umetokea katika maeneo ya milima katika mkoa wa Kabylie , ambapo wanajeshi 25 wamefariki ...
Katika historia ya Tanzania, jina la Profesa Philemoni Sarungi (89) ni miongoni mwa majina ya Watanzania wachache waliokuwa ...
Viongozi mbalimbali walihudhuria mkutano huo wakiwemo wakuu wa wilaya za Mkoa wa Morogoro ... ni miongoni mwa watu wenye mchango mkubwa kwenye sekta ya kilimo Tanzania Akiainisha changamoto ...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya ...
MABALOZI wa Serikali ya Tanzania na Msumbiji wamefanya kikao cha ujirani mwema juu ya kudumisha uhusiano wa kiuchumi kwa nchi ...
TARI inaendelea na utafiti wa kina kubaini ikolojia na baiolojia ya funza mwekundu, hasa kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Matokeo ya utafiti huu yataiwezesha serikali kufanya uamuzi sahihi kutatua ...
SERIKALI imetoa Sh. bilioni 78.88 kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya kujifunza na kufundishia katika ...
Ingawa Mkoa wa Dodoma ndio makao makuu ya nchi, wakazi wake bado wanahesabika kuwa miongoni mwa watu maskini zaidi nchini, takwimu zinaonyesha.
Juhudi za ujenzi mpya wa makazi katika mkoa wa Ishikawa uliokumbwa na tetemeko ... mwingine kwao kuanza kufanya kazi kutokana na uhaba mkubwa wa wafanyakazi. Sababu nyingine inayozuia juhudi ...