Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na ...
Mzee Antony Mwandulami mkaazi wa Mkoa wa Njombe Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania anafuga mbuzi kama mlinzi wake. Anasema mbuzi huyo ambaye amefanya kazi kwake kwa miaka 19 sasa humpa taarifa juu ...
NJOMBE: KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Hassan Banga, amewataka ...
Taarifa iliyotolewa wiki hii na Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) inaonyesha mkoa wa Njombe kuwa na kiwango cha chini cha joto cha nyuzi joto nne huku taarifa hiyo ikitabiri huenda kiwango ...
Ingawa Mkoa wa Dodoma ndio makao makuu ya nchi, wakazi wake bado wanahesabika kuwa miongoni mwa watu maskini zaidi nchini, takwimu zinaonyesha.