Tanzania imegundua takribani futi za ujazo trillioni 2.17 za Gesi katika eneo la Ruvu lililoko katika Mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka mji mkuu wa biashara-Dar es Salaam. Huu ni ugunduzi ...
Ingawa Mkoa wa Dodoma ndio makao makuu ya nchi, wakazi wake bado wanahesabika kuwa miongoni mwa watu maskini zaidi nchini, takwimu zinaonyesha.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, amekagua maandalizi ya uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha, mkoani Pwani, utakaotumika kuwasha Mwenge wa U ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imesema imeridhishwa na uwekezaji wa miundombinu ya elimu inayoendelea ...
Polisi katika taarifa inasema askari wa idara ya misitu wakiwa doria walimjeruhi kwa kumpiga risasi kichwani mfanyabiashara ...
Hata hivyo licha ya maeneo ya pwani ya kusini ikiwemo Mtwara ... na uzalishaji wa zao la biashara la korosho, mkoa wa Mtwara ulioko kusini mwa Tanzania pia ni maarufu kwa kilimo cha chumvi ...
KIONGOZI mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kiongozi mstaafu wa serikali, Profesa Philemon Sarungi ...
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, wahifadhi wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapaori Tanzania ...