Mradi huo ukikamilika utawanufaisha wananchi wa kijiji cha Gwata (Kibaha), Mwetemo (Chalinze), Mkupuka (Kibiti) na Mbwara ...
Tanzania imegundua takribani futi za ujazo trillioni 2.17 za Gesi katika eneo la Ruvu lililoko katika Mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka mji mkuu wa biashara-Dar es Salaam. Huu ni ugunduzi ...
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamsaka Abdallah Mohamed (40), fundi friji mkazi wa Mataya, wilayani Bagamoyo, kwa tuhuma za kumuua mzazi mwenzake, Naomi Mwakajengele (28), mwalimu wa Shule ya Msingi M ...
Polisi inamshikilia Stephano Maswala, ambaye ni mmiliki wa kituo hicho, anayedaiwa kuwabaka watoto watano wanaolelewa kituoni ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ...
Hata hivyo licha ya maeneo ya pwani ya kusini ikiwemo Mtwara ... na uzalishaji wa zao la biashara la korosho, mkoa wa Mtwara ulioko kusini mwa Tanzania pia ni maarufu kwa kilimo cha chumvi ...
Ujenzi wa bwawa la Kidunda lenye matumizi mbalimbali katika mkoa wa Morogoro umefikia asilimia 27 kukamilika, maafisa ...