Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye alikuwa mgeni rasmi wa mkutano, imepokelewa kwa hisia huku mijadala na mabishano ikiendelea nje , hasa katika mitandao ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefayika siku ya Jumamosi Februari 8 katika ...
Siku mbili kabla ya mkutano wa marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) na Jumuiya ya Afrika ...
Tangu siku hiyo, amekuwa mahabusu katika Gereza la Keko ambapo mpaka leo amekaa kwa siku 17, akisubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa shauri la maombi ya Jamhuri ya kupinga kupewa dhamana.
Ushirikiano mwingi uliokuwepo katika enzi za uliokuwa muungano ... katika Jamhuri ya Congo, gazeti la Urusi Vedomosti limeandika. Nishati ya nyuklia inatarajiwa kuwa mada kuu katika mkutano ...
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, amekutana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Robinah Nabbanja Jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara baada ya kikao jana, ...
Rais wa Kenya William Ruto siku ya Jumapili ametangaza kuitisha mkutano kati ya viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu mgogoro wa mashariki mwa DRCongo ndani ya siku mbili zijaz ...
Marekani imelitolewa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kusitisha mashambulizi ya wanajeshi wa ...
Muungano’s choral acapella repertoire included Chama Kanu, Heko Jamhuri, Mungu Bariki Kenya, Panga Uzazi and Enzi ya Nyayo. But it was their 1988 recording of Missa Luba that gave it a global ...
Maoni ya Moriyama yamekuja wakati serikali na muungano wa vyama vinavyotawala vikifikiria kuwapeleka wabunge kwenye mkutano huo. Wakati huo huo, serikali inasisitiza msimamo wake wa kutohudhuria ...
Serikali ya Japani na muungano unaotawala zinafikiria kutuma wabunge kutoka chama cha Liberal Democratic, LDP na chama mshirika wake Komeito kwenye mkutano huo. Manusura wa mabomu ya atomiki ...
Kiongozi wa Muungano wa Mto Kongo (AFC), Corneille Nangaa, amesema kuwa kundi hilo halipiganii madini wala rasilimali yoyote katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), bali linahitaji kurejesha he ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results