Miongoni mwao ni mkurugenzi na mwalimu mkuu, ambao hawajaeleza chochote. Maafisa wanasema kuna mgogoro kuhusu umiliki wa shule ambayo watu 42 waliuawa. Jeshi linasema, waasi wenye uhusiano na ...