Wanaounga mkono muundo wa serikali tatu ... lenye zaidi ya wajumbe mia sita linaundwa na wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baraza la wawakilishi Zanzibar na wajumbe 201 ...
Bunge la 11 la Tanzania (2015-2020) linatamatishwa leo Jumanne Juni 19, huku likiwa limegawanya mitazamo ya wachambuzi wa masuala ya siasa. Bunge hilo likiwa chini ya Spika Job Ndugai linatajwa ...