Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kudumisha na kuuenzi Muungano wa Taganyika na Zanzibar na kuwahakikishia wananchi wa pande mbili kuwa kero ...
Hii hapa historia ya Muungano huo Historia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanzia April 26 mwaka 1964 siku ambayo Nchi ya Jamuhuri ya Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania bara pamoja na ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ...
Dar es Salaam. Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri katika Baraza la mawaziri la Tanzania, Tabitha Siwale (86) ...
Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia mambo 10 ikiwemo kuamuru vikosi vya ...
Harakati za kumkomboa mwanamke na kulinda haki zake zimeanza kuzaamatunda huku juhudi zaidi zikihitajika ili kuleta usawa wa ...
Mtu aliyebuni jina la nchi ya Tanzania, Mohammed Iqbal Dar mwenye asili ya India, amefariki dunia huko Birmigham, Uingereza ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ...
SERIKALI imelieleza Bunge itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo kutafuta fedha kwa ajili ya miradi ya hifadhi ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewapandisha kizimbani vijana saba wakazi wa Ifakara mkoani Morogoro wakikabiliwa na ...
Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye habari ni pamoja na Rais wa DRC, Felix Tschisekedi, kuwataka raia wa nchi yake kuunga mkono mabadiliko ya katiba, , Chama tawala cha CCM nchini Tanzania ...
Mtanzania Kamishna Dkt. Doliye achambua mafanikio yaliyopatikana katika hifadhi ya NCAA chini ya Rais Samia - Uncategorized ...