Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania umeanza kujitengenezea njia mpya kwenye soko la muziki. Hatua hiyo ni baada ya wasanii wengi wa muziki huo kuanza kutumia ala za muziki wakiwa majukwaani na ...
Nyota yake iling'aa baada ya kuonekana katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) na sasa Kala Jeremiah ni ...
Aina hii ya muziki si maarufu sana miongoni mwa Waafrika wengi kama ilivyo katika nchi za Kimagharibi. Mbele yao hukaa muuongozaji ajulikanaye kama kondakta. Nchini Tanzania, kuna kondakta mmoja ...
JUZI kati prodyuza mkongwe wa muziki Tanzania, Master Jay alitikisa meza kwa kutoa maoni yanayoashiria kwamba msanii Bien wa ...
Muziki wa asili kutoka nchini Tanzania Sanaa ya Muziki wa asili ni miongoni mwa sanaa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, Kutana na kundi la Sanaa lililowika katika majukwaa ya kimataifa wakiwa na ...
WAIMBAJI wa Bongofleva, Abigail Chams na Harmonize wanaendeleza ushirikiano wao wa kikazi wa muda mrefu na sasa wamekuja na ...
Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania walalama kutakwa Kimapenzi wa Watayarishaji wa Muziki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Zainisha ...
Kikundi cha Hip-Hop cha akina dada wa kitanzania kilivyowezeshwa kujikita kwenye Soko la muziki Tanzania. Mapitio ya mafanyikio yatokanayo na mchango kutoka kwa Mfuko wa kuendeleza sanaa cha Ujerumani ...
Akitolea mfano, Rose anasema Msama alikuwa ananisaidia kutoa ushauri wakati wa kuandaa muziki, alitoa msaada mkubwa wa fedha ...
Afisa Mkuu Mtaala Mwandamizi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk. Joyce Kahambe, amewasihi wazazi waendelee kuwahimiza ...