Eneo hilo la Caucasus ndio la hivi karibuni kuingiliwa na Uturuki ambayo imekuwa ikijihusisha na yanayotokea kwenye nchi kadhaa kuanzia Syria hadi maeneo ya Mediterranean. Miaka ya hivi karibuni ...
Ikiwa Uturuki itakubali kujiunga, itakuwa nchi ya kwanza mwanachama wa NATO kuwa mwanachama wa muungano wa kiuchumi wa nchi zisizo za Magharibi, unaoongozwa na Urusi na China. Kerim Has ...
Kando na kuwa Ujerumani imekataa ombi la Uturuki kujiunga na nchi nyengine 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya, Merkel amesema sasa uwezekano huo unaweza kuwepo baada ya majadiliano ya kina.
SERIKALI Uturuki, Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA). Makamu Mkuu wa MUHAS, Profesa Appolinary Kamuhabwa, Rais wa TIKA, ...
Rais wa Marakani Donald Trump amekuwa kiongozi wa hivi karibuni kumtaka Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan kupunguza operesheni ya kijeshi inayofanywa na nchi yake katika eneo la Kikurdi la Afrin ...
Wajumbe wa kidiplomasia kutoka Marekani na Urusi wamefanya mazungumzo katika mji wa Istanbul nchini Uturuki. Upande wa Urusi ...
Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema imeiomba Marekani kufikiria kurejesha safari za ndege za moja kwa moja kati ya nchi hizo mbili.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Jumatatu, Februari 24, kwamba nchi za Ulaya zinaweza "kushiriki" katika mchakato wa kusuluhisha mzozo wa Ukraine, wakati EU inahofia kutengwa tangu ...