Mbali na Ethiopia, Uturuki imeshauza ndege zisizo na rubani kwa nchi kadhaa ikiwemo ya Kaskazini mwa Afrika, iliripoti Reuters. Mwanadiplomasia mmoja aliye karibu na anayelijua suala hilo alisema ...
Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi kwenye mpaka wa Syria Novemba 24, 2015. Ankara ilisema kuwa ndege hiyo ya Urusi ilidunguliwa kwasababu ilikiuka sheria za anga lake. Hatahivyo Moscow ...
Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema imeiomba Marekani kufikiria kurejesha safari za ndege za moja kwa moja kati ya nchi hizo mbili.
"Marufuku rasmi ya kuruka na kutua katika viwaja vya ndege nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ... DRC ilikataa pendekezo la upatanishi kutoka Uturuki, na kupendelea suluhu za Afrika kutatua mgogoro ...
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Uturuki Hakan Fidan ameomba ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na wanamgambo wa Chama cha Kikurdi cha PKK nchini Iraq na katika taifa jirani la Syria.