Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCHPR) imeamua kwamba Tanzania ilikiuka baadhi ya haki za wanamuziki Nguza Viking maarufu Babu Seya na mwanaye, Johnson Nguza 'Papii Kocha' katika kesi ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imesema hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa hukumu ya kifo ni kinyume na katiba ya nchi. Watetezi wa haki za binadamu walifungua kesi kutaka adhabu hiyo ifutwe ...