Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa onyo kwa wale wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu na kusababisha mauaji ya raia na polisi. Akizungumza kwa mara ya kwanza, mbele ya vyombo vya habari ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa ...