Jeshi la polisi nchini Tanzania limepinga ripoti zilizokuwa zikisambaa katika vyombo vya habari zikidai kwamba afisa wake mmoja yupo mjini Nairobi kumpeleleza Tundu Lissu. Mbunge huyo alipigwa ...
Askofu Emmaus Mwamakula wa Kanisa la Uamsho la Morovian ameachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za ''kuhamasisha maandamano'' ya kudai katiba mpya nchini Tanzania. Kwa mujibu ...