Hivi majuzi hatua ya taifa la Tanzania kuwachoma kuku 6,400 kutoka Kenya wenye thamani ya shilini milioni 12 za Tanzania kwa madai kwamba wangesambaza ugonjwa wa homa ya ndege ilizua hizo tofauti ...
Mambo yalianza kuharibika tangu Tanzania ilipovichoma moto vifaranga vya kuku kutoka Kenya na kuishikilia mifugo ya ng'ombe kutoka taifa hilo. Janga la corona nalo limezusha msigano mpya wa ...