Kampuni ya LZ Nickel Limited ya Uingereza ikafuata nyayo za Barrick ikaingia ubia na Serikali ya Tanzania na kuanzisha kampuni ya pamoja ya uchimbaji madini ya Tembo Nickel. Kwa upande wa bandari ...
Serikali ya Tanzania imejikuta ndani ya mjadala mzito wenye misingi ya uwekezaji katika bandari za nchi hiyo, ambazo ni moja ya rasilimali muhimu za kiuchumi, huku Mamlaka ya usimamizi wa Bandari ...