Mchakato wa Katiba mpya Tanzania ni kama umeanza rasmi ... Mbali na watendaji wengine Rais alikutana na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, Waziri ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imesema imeridhishwa na uwekezaji wa miundombinu ya elimu inayoendelea ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amefariki dunia Jumatano jioni; na swali la wengi ndani na nje ya Tanzania kwa sasa ni nini kitakachofuata kwa mujibu wa Katiba? Hii ni mara ya kwanza katika ...
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira) wa Chama cha ACT Wazalendo, Petro Ndolezi, amesema kuwa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi unapaswa kuzingatia vigezo vya msingi ...
SERIKALI imesema itaunda timu ya wataalamu itakayojumuisha wizara tano kuchambua waraka wa unaojiita Umoja wa Walimu Wasio ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema serikali itaunda ...